Nehemiah 9:5

5 aNao Walawi Yeshua, Kadmieli, Bani, Hashabnea, Sherebia, Hodia, Shebania na Pethahia wakasema: “Simameni mkamsifu Bwana Mwenyezi Mungu wenu, yeye ambaye ni Mungu tangu milele hata milele.”

“Libarikiwe jina lake tukufu, litukuzwe juu ya baraka zote na sifa.

Copyright information for SwhKC